Pep Guardiola augua kizungu zungu: Man U mali ya Zlatan - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, January 16, 2017

Pep Guardiola augua kizungu zungu: Man U mali ya Zlatan


Hii ni baada ya kupata mafanikio makubwa sana akiwa katika ligi ya Hispania alipokuwa akiinoa timu ya Barcelona na baadae aliamua kutimkia huko Ujerumani na alijiunga na timu ya Bayern Munich na pia aliweza kufanya makubwa, pamoja na kusumbua sana katika ligi hiyo na pia kuweza kufika katika hatua nzuri za mashindano ya UEFA.

Baadae alipata ushawishi na kuhamia katika ligi ya Uingereza na kujiunga na Klabu ya Manchester City ambapo anapoanza mashindano ya ligi aliweza shinda michezo mitano mfululizo na kuongoza ligi hiyo ila baadae hali hiyo ilibadirika sana kwa upande wake hadi jana Manchester City imekubali kipigo cha mbwa mwizi kwa jumla ya magoli 4 - 0.

Inakoelekea katika tasnia yake yaufundishaji mpira inaenda kuharibika katika ligi kuu ya Uingereza ambapo alishatangaza anataraji kustafu kufundisha soka.

Angalia mchezo ulivyokua kati ya Everton VS Man City


Sikiliza hapa mahojiano ya kocha wa Man City baada ya mchezo kuisha


Manchester United walikua wamewaalika Liverpool na matokeo ya mchezo yametoka kua ni sare ya bao 1 - 1. Ambapo jahazi la Man U liliokolewa baada ya pande toka kwa Valencia pamoja na umaliziaji mzuri wa mshambuliaji Zlatan.

Tazama yaliyojiri hapa

Loading...

No comments: