Ronaldo amepeleka tuzo ya mchezaji bora wa dunia katika uwanja wa Bernabeu - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, January 7, 2017

Ronaldo amepeleka tuzo ya mchezaji bora wa dunia katika uwanja wa Bernabeu


Katika mechi ya Real Madrid vs Granada mapema jioni leo. Cristiano Ronaldo kabla mechi haijaanza amepewa nafasi yakuwaonesha mashabiki tuzo yake ya mchezaji bora wa dunia aliyoipata mwaka 2016.
Tazama video uone jinsi ilivyokua

Loading...

No comments: