Samwel Eto'o huenda akarudi kucheza katika ligi kuu ya Uingereza; Ijue timu inayomuhitaji - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, January 1, 2017

Samwel Eto'o huenda akarudi kucheza katika ligi kuu ya Uingereza; Ijue timu inayomuhitaji


Samwel Eto'o anamiaka 35 kwa sasa na yupo katika safu ya ushambuliaji ya timu ya Antalyaspor ya nchini Uturuki.
Eto'o katika ligi kuu ya Uingereza amesha zichezea klabu za Chelsea na Everton, na baadae aliondoka na kuhamia huko Uturuki katika klabu ya Antalyaspor.

Timu kujinusuru kushuka daraja zimeanza kutafuta wachezaji ambao wataziwezesha kupata matokeo mazuri katika mzunguko wa pili wa lala salama.

Hull City wanataka kumsajili staa wa zamani wa klabu ya Barcelona, Samwel Eto'o ili kuimarisha safu ya ushambuliaji na kuondoa ukame wa magoli na pia kuwaondoa katika janga lakushuka daraja.
Loading...

No comments: