Senegal yaongoza kundi B: Mahrez aibeba Algeria - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, January 16, 2017

Senegal yaongoza kundi B: Mahrez aibeba Algeria


Katika mchezo wa kundi B wa mataifa ya Afrika jana kulikua na michezo miwili. Ambapo timu ya Algeria yatoka sare ya magoli 2 - 2 baada ya Mahrez kuikomboa katika kipigo toka kwa Zimbabwe ambao walikua wanaongoza kwa mabao 2 kwa 1.Mechi kati ya Tunisia vs Senegal ilimalizika kwa timu ya Senegal kutoka kifua mbele kwa ushindi wa magoli 2 kwa bila. Senegal imeshika usukani wa kundi B kwa kua na pointi 3.

Loading...

No comments: