Sevilla wachafua rekodi ya Real Madrid; Wakati Ronaldo aweka rekodi yake ya magoli - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, January 16, 2017

Sevilla wachafua rekodi ya Real Madrid; Wakati Ronaldo aweka rekodi yake ya magoli


Jana katika mchezo kati ya Sevilla ambao walikua katika uwanja wao wa nyumbani na klabu ya Real Madrid ambao ndio vinara wa ligi hiyo. Ambapo Sevilla ilipata ushindi wa mabao 2 - 1.

Sevilla wamevunja rekodi ya timu ya Real Madrid kuto fungwa katika michezo 40 ya mashindano mbali mbali.

Na mchezaji wa dunia Ronaldo baada ya kufunga goli la penati ameweka rekodi yakuifunga sevilla magoli 21 kila wanapokutana na klabu hiyo.

Kocha wa timu ya Real Madrid bwana Zinadine Zidane amesema baada ya Real Madrid kupata goli lakuongoza kupitia kwa mshambuliaji Ronaldo walianza kucheza kwa kubweteka na kuona kama washashinda ila katika dakika za lala salama kabla dakika 5 mchezo kumalizika mchezaji Jovetic aliiandikia timu ya Sevilla bao la pili na laushindi.

Tazama hapa mambo yaliojiri katika mchezo wa Sevilla VS Real Madrid

Loading...

No comments: