TORY LANEZ ATOA MIXTAPE ALBAM MBILI: ZISIKILIZE HAPA: - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, January 2, 2017

TORY LANEZ ATOA MIXTAPE ALBAM MBILI: ZISIKILIZE HAPA:


Tory Lanez baada yakupata mafanikio makubwa mwaka 2016 baada yakuachia albamu yake ya I TOLD YOU na kuingia katika kinyang'anyiro cha tuzo za Grammy.

Hana malengo yakupunguza kasi yake kwa sasa. Siku ya kwanza ya mwaka 2017, raia wa Canada aneimba na kuchana Tory Lanz ametimiza ahadi yake yakuachia albamu mbili za mixtape zinazokwenda kwa majina ya CHIXTAPE 4 na THE NEW TORONTO 2.

Zisikilize hapa maana zimebeba ngoma kali sana.

CHIXTAPE 4THE NEW TORONTO 2


Loading...

No comments: