Uturuki yaitaka Marekani kuvunja uhusiano na YPG - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, January 4, 2017

Uturuki yaitaka Marekani kuvunja uhusiano na YPGWaziri mkuu wa Uturuki amesema anatarajia serikali mpya ya Marekani kusitisha ugavi wa silaha kwa kundi la wanamgambo wa Kikurdi YPG nchini Syria na kuwa uongozi wa rais Obama ulihusika katika usambazaji huo wa silaha.Katika taarifa aliyoisoma bungeni kwa wabunge wa chama tawala cha AKP, waziri mkuu Binali Yildirim alisema kuwa Marekani haipaswi kuruhusu ushirikiano wake na Uturuki kutatizwa na kundi la kigaidi.

Loading...

No comments: