Video :Marry You ya Diamond yaingia kwenye Top 20 za Vevo Marekani - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, February 25, 2017

Video :Marry You ya Diamond yaingia kwenye Top 20 za Vevo Marekani

Diamond Platnumz anazidi kufikia malengo aliyojiwekea mwaka huu. Video ya wimbo wake, Marry You aliyomshirikisha Ne-Yo, imeingia kwenye Top 20 za Vevo nchini Marekani. Chati hiyo inahusisha wasanii wapya wa Marekani.
Video hiyo sasa inapigana vikumbo na ngoma za rappers maarufu wakiwemo Desiigner na Lil Yatchy. “Kwahiyo @vevo ndio wameamua iwe hivyo? Top 20 New Artists Videos in the U.S na #MarryYou imo? Kwanini wanafanya upendeleo?,” ameandika meneja wake, Sallam.
Hadi sasa video hiyo ina views milioni 3.7.


Loading...

No comments: