Vituo 4 vya utangazaji vyapewa onyo kali na TCRA kwa kukiuka maadili - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, February 25, 2017

Vituo 4 vya utangazaji vyapewa onyo kali na TCRA kwa kukiuka maadili

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa adhabu kali kwa vituo vinne vya utangazaji kwa kukiuka maadili ya utangazaji kwa mujibu wa sheria na kuvitaka viombe radhi siku tatu mfululizo kuanzia leo (Ijumaa) kupitia taarifa ya habari.
Akitoa adhabu hizo, Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui ya TCRA, Valerie Msoka amesema vituo hivyo vimepewa onyo kali ikiwa ni pamoja na kutozwa faini na kuomba radhi wasikilizaji wake
Amevitaja vituo hivyo kuwa ni Star TV,Channel ten, Clouds FM na Times FM.
Loading...

No comments: