Banda atajwa Mchezaji Bora Simba wa Mwezi Februari - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, March 27, 2017

Banda atajwa Mchezaji Bora Simba wa Mwezi Februari


Klabu ya Simba Sports Club imejiwekea utaratibu wa kila mwezi kutoa tuzo ya heshima na zawadi kwa mchezaji ambaye anakuwa amefanya vizuri katika mwezi husika ili kuwapa motisha wachezaji wao na kuwapa moyo wa kufanya vyema.

Katika mwezi wa pili, Simba Sports Club imemtangaza mchezaji wake Abdi Banda kuwa ndiye mchezaji bora wa mwezi wa pili.

Zoezi la kuwapata wachezaji bora katika klabu ya Simba linafanyika kwa mashabiki kutuma jina la mchezaji husika kupitia ukurasa wao wa Facebook 
Loading...

No comments: