Harmo Rappa Azidi Kutembelea Nyota za Wasanii Wakubwa...Amchokoza AY - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, March 10, 2017

Harmo Rappa Azidi Kutembelea Nyota za Wasanii Wakubwa...Amchokoza AY
Msanii Ay mzee wa commercial ameamua kumuachia jina lake Rapa anayekuja kwa kasi kwenye Bongo Fleva HamoRappa.

Jina la Legend alikuwa akitumia mzee wa commercial kwenye mtandao wa Twitter lakini sasa ameliachia rasmi kwa rapa huyo mwenye vituko vingi bongo anayeongoza kwa kufuatiliwa kwenye 411 news.

Baada ya HamoRappa kuitambulisha akaunti yake ya Twitter ikiwa na jina la Legend Harmo, jambo liloshtua ulimwengu vipi kwa Zee Legend aliyokuwa akitumia AY.

Mzee wa commercial ameamua kutumia jina la Masta badala ya Lile la Zee Legend ambalo Harmo amelichukua la Legend!
Loading...

No comments: