KAMPUNI YA MAXCOM AFRICA (MAXMALIPO) WAFANYA KIKAO NA WAFANYA BIASHARA DAR ES SALAAM - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, March 11, 2017

KAMPUNI YA MAXCOM AFRICA (MAXMALIPO) WAFANYA KIKAO NA WAFANYA BIASHARA DAR ES SALAAM

Kampuni ya Maxcom Africa (Maxmalipo) Leo Jumamosi tar 11/03/2017 wamefanya kikao na wafanya biashara waliopo Mkoani Dar es Salaam,katika ukumbi wa Lions Sinza ikiwa ni hatua ya Kutambulisha Fursa ambazo wafanyabiashara na wananchi wanaweza kuzipata kutoka Kampuni hii ya Maxmalipo Mkuu wa kitengo cha Mauzo na usambazaji wa Kampuni ya Maxmalip Bw. Mruta Hamisi akiwasilisha Mada Meneja wa Kanda ya Pwani Maxmalipo ( Bw. Gasper Mroso) akiwasilisha Mada Baadhi ya Wafanyabiashara wakisikiliza Mada Msemaji wa Kampuni ya Maxcom Africa Bw. Deogratius Lazari amewaeleza waandishi wa habari kwamba Mikutano Hii ni mwanzo wa kutambulisha fursa Mbalimbali ambazo kila Mtanzania anatakiwa kuzi changamkia. Pia ametoa wito  watanzania kuwekeza kwenye Uwakala wa Maxmalipo ili kuboresha vipato vyao. Fursa hii ya uwakala pamoja na Taarifa zaidi zinaweza kupatikana kupitia info@maxcomafrica.com au 0764700200
Loading...

No comments: