Kwa Mara ya kwanza Barnaba Afunguka Ukweli Kuhusu Mahusiano Yake ya Kimapenzi. - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, March 23, 2017

Kwa Mara ya kwanza Barnaba Afunguka Ukweli Kuhusu Mahusiano Yake ya Kimapenzi.


Ikiwa ni takriban miezi miwili sasa tangu fununu za kuachana kwa Mwanamuziki wa Bongofleva Barnaba Boy na mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Mama Steve.Leo ameweka wazi ukweli wote kuhusu kinachoendelea katika mahusiano yake na mpenzi wake Mama Steve….

Akihojiwa katika kipindi cha redi cha XXL cha Clouds fm amesema “Mimi ndiye mtunzi,na hii ngoma haihusiani na maisha yangu, sipendi sana kuweka hadharani stori kuhusu maisha yangu, ila acha niseme mimi na mke wangu kila mtu ana maisha yake, tumekaa kwenye uhusiano wetu zaidi ya miaka nane”

Pia Barnaba ametambulisha rasmi wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la LONELY ambao tutakuletea pindi tu utakapotufikia,endelea kufuatilia habari zetu ili usipitwe na kitu chochote.
Loading...

No comments: