Bao la Ronaldo lakataliwa, mtu achinjwa 3-0 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, April 3, 2017

Bao la Ronaldo lakataliwa, mtu achinjwa 3-0
Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 31 katika ushindi wa 3-0 dhidinya Alaves kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine yamefungwa na Isco dakika ya 85 na Nacho dakika ya 88, wakati Cristiano Ronaldo naye alifunga dakika ya 54, lakini bao likakatalkiwa
Loading...

No comments: