Isikupite hii kutoka kwa Diamond Platnumz itakapofika mwezi wa saba - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, April 24, 2017

Isikupite hii kutoka kwa Diamond Platnumz itakapofika mwezi wa sabaHii ni taarifa maalum kutoka kwa Diamond Platnumz ambayo inamuhusu kila alieshabikia yake na mpenda burudani wa mzikiwa hapa nyumbani Tanzania

Hitmake huyo wa 'Marry you' aliyomshirikisha Ne-yo ameitangaza live show yake ambayo ataipiga na Future kutoka marekani pindi itakapotimia mwezi wa saba mnamo tareehe 24.

Loading...

No comments: