kifua changu kina mambo mengi- Nape - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, April 9, 2017

kifua changu kina mambo mengi- Nape

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amezungumza na wapiga kura wake leo katika kijiji cha Chihuta huku akieleza kuwa yeye ndiye aliyemtafutia kura Rais John Magufuli katika kampeni za uchaguzi wa mwaka 2015.

Kadhalika Nape alizungumzia tukio la kutolewa bastola alipotaka kuzungumza na waandishi wa habari hivi karibuni na kuvitaka vyombo vya ulinzi na usalama vichukue hatua.

“Shida niliyonayo wapiga kura wangu huyu jambazi aliyetoa silaha vyombo vya ulinzi nausalama vinafanya nini,” alisema

 Alisema kutokana na tukio lile, alihitaji busara zaidi na kutulia kwani kifua chake kina mambo mengi.
Loading...

No comments: