LIVE: Mshuhudie Rais Magufuli Akizindua ujenzi wa Reli ya kisasa Dar hadi Moro - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, April 12, 2017

LIVE: Mshuhudie Rais Magufuli Akizindua ujenzi wa Reli ya kisasa Dar hadi Moro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo April 12, 2017 anaweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa Reli ya kisasa (Standard Gauge) kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.

==>Tazama tukio zima hapo chini

A
Loading...

No comments: