Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba Washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA Waangukia Pua - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, April 5, 2017

Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba Washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA Waangukia Pua


MATOKEO YA UCHAGUZI WA WABUNGE WA AFRIKA MASHARIKIKUNDI A: WANAWAKE

1. Ndg. Happiness Elias LUGIKO - KE - CCM - KURA 196

2. Ndg. Fancy Haji NKUHI - KE - CCM - KURA 197

3. Ndg. Happiness Ngoti MGALULA - KE - CCM - KURA 125

4. Ndg. Zainabu Rashidi Mfaume KAWAWA - KE - CCM - KURA 137

KUNDI B: ZANZIBAR

1. Ndg. Abdullah Hasnu MAKAME ME CCM - KURA 254

2. Ndg. Maryam Ussi YAHYA KE CCM - KURA 195

3. Ndg. Mohamed Yusuf NUH ME CCM - KURA 65

4. Ndg. Rabia Hamid MOHAMEDI KE CCM - KURA 142

KUNDI C: VYAMA VYA UPINZANI

CHADEMA

1. Ndg. Ezekia Dibogo WENJE - ME - CHADEMA - KURA ZA NDIYO 124 HAPANA 174

2. Ndg. Lawrence Kego MASHA - ME - CHADEMA - KURA ZA NDIO 126 HAPANA 198

CUF

1. Ndg. Habibu Mohamed MNYAA - ME - CUF KURA 188

2. Ndg. Sonia Jumaa MAGOGO - KE - CUF KURA 06

3. Ndg. Thomas D.C MALIMA - ME - CUF- ALIJIONDOA

4. Ndg. Twaha Issa TASLIMA - ME - CUF KURA 140

KUNDI D: TANZANIA BARA

1.Ndg. Adam Omai KIMBISA - ME - CCM 266

2. Ndg. Anamringi Issay MACHA - ME - CCM 23

3. Ndg. Charles Makongoro NYERERE - ME - CCM 81

4. Dkt. Ngwaru Jumanne MAGHEMBE - ME - CCM 287

Wabunge saba ndio wamechaguliwa na nafasi mbili za CHADEMA bado zipo wazi.

WALIOSHINDA NI;

1. Fancy Haji Nkuhi

2. Happiness Elias Lugiko

3. Abdallah Hasnu Makame

4. Maryam Ussi Yahya

5. Habibu Mohamed Mnyaa

6. Ngwaru Jumanne Magembe

7. Adam Omary Kimbisa

Tazama Video:

Loading...

No comments: