Wema Sepetu atapa Shavu jipya la kuwa Kwenye Jarada la 'True love' kutoka kenya - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, April 5, 2017

Wema Sepetu atapa Shavu jipya la kuwa Kwenye Jarada la 'True love' kutoka kenya


 
Uzuri wake ndio kitu pekee kinachoenelea kuulinda ustaa wake unaompa mafanikio kilakukicha hapa bongo na nje pia. Wema Sepetu ni miongoni mwa-warembo wenye mivuto wa kipee kwa hapa bongo na ndo kitu kinachompa umaarufu zaidi na hata kufanikiwa kupata zaidi ya followes 2.7m kwenye mtandao wa instagram.

Wema sepetu amefanikiwa kupata shavu la kuwa katika jarada la makala la nchini kenya lilopewa jina la 'True love' jarida ambalo litahusisha vitu vingi kwenye maisha ya kijana wakisasa.
Loading...

No comments: