Yanga yamtema Ngoma - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, April 28, 2017

Yanga yamtema NgomaKlabu ya soka ya Yanga SC inapenda kutoa taarifa juu ya safari yake kuelekea Mwanza katika mechi ya nusu fainali ya kombe la Azam Sport Confedaration cup.

Msafara wa wachezaji,benchi la ufundi na viongozi utaondoka saa 11 jioni na ndege ya shirika la ndege la ATC.

Wachezaji watakaoondoka ni...

Makipa:
Deogratius Munishi, Beno Kakolanya na Ally Mustapha. Nafasi ya ulinzi ni ; Nadir Haroub,Vicent Andrew, Oscar Joshua , Juma Abdul , Mwinyi Haji, Hassan Kessy na Kelvin Yondani. 

Viungo:
Thabani Kamusoko, Haruna Niyonzima, Deusi Kaseke,Said Makapu, Juma Mahadhi, Saimoni Msuva, Geofrey Mwashuiya na Emmanuel Martin.

Washambuliaji:
Amissi Tambwe , Matheo Antony na Obrey Chirwa.

Wachezaji watakaoukosa mchezo huo kwa sababu mbalimbali ni:  Malimi Busungu,Vincent Bossou na Donald  Ngoma

Imetolewa na idara ya habari na mawasiliano; 
Young Africans SC

27/04/2017
Loading...

No comments: