Rick Ross; Nimemaliza Beef la Drake na Meek Mill Ili Niwe Bilionea. - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, May 6, 2017

Rick Ross; Nimemaliza Beef la Drake na Meek Mill Ili Niwe Bilionea.Boss wa MMG rapa Rick Ross amethibitisha kuwa beef katii yake na Drake limekufa ila beef la Drake na Meek Mill pia limekwashia sababu ikiwa ni kutengeneza pesa na sio maadui.

Kwenye interview na “Best Seat In The House” na Hovain Hylton, Rick Ross anasema amekutana na Drake na wameyamaliza matatizo yao, kwa sasa wanafikiria pesa tu.

Aliyewakutanisha majembe hawa wawili ni mmiliki wa lebo ya Rap-A-Lot J. Prince .

Rick Ross anasema mpango uliobaki kwa sasa ni kutengeneza mabilioni ya dola tu.
Loading...

No comments: