BANDA LA TIGO LAFURIKA WATEJA MAONESHO YA NANENANE NZUNGUNI DODOMA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, August 7, 2017

BANDA LA TIGO LAFURIKA WATEJA MAONESHO YA NANENANE NZUNGUNI DODOMA

Baadhi ya wateja waliofurika kwenye banda la Tigo kwenye maonesho ya Nanenane mkoani Dodoma jana kupata ofa kabambe ya simu za kisasa za Tecno S1 kwa bei ya TZS 99,000/- na Tecno R6 kwa bei ya TZS 195,000 tu.

Mtoa huduma ya mauzo wa kampuni ya Tigo,  akihudumia wateja waliofika kwenye banda la Tigo maonesho ya Nane nane Dodoma jana.

Baadhi ya wateja waliofurika kwenye banda la Tigo kwenye maonesho ya Nanenane mkoani Dodoma jana kupata ofa kabambe ya simu za kisasa za Tecno S1 kwa bei ya TZS 99,000/- na Tecno R6 kwa bei ya TZS 195,000 tu.
Mtoa huduma ya mauzo wa kampuni ya Tigo, Sharifa Matula akihudumia wateja waliofika kwenye banda la Tigo maonesho ya Nane nane Dodoma jana.

Loading...

No comments: