Jenerali wa Jeshi Ateuliwa na Rais Magufuli Kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, August 22, 2017

Jenerali wa Jeshi Ateuliwa na Rais Magufuli Kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURURaisi John Magufuli leo August 21, 2017 amemteua Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).

Uteuzi wa Brigedia Jenerali John Julius Mbungo unaanza leo August 21, 2017.


Loading...

No comments: