Sherehe Za Uwekaji Wa Jiwe La Msingi Bomba La Mafuta Ghafi Kutoka Hoima Mpaka Chongoleani, Tanga - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, August 5, 2017

Sherehe Za Uwekaji Wa Jiwe La Msingi Bomba La Mafuta Ghafi Kutoka Hoima Mpaka Chongoleani, Tanga

 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda, Yoweri  Kaguta Museveni  wakiwasili katika viwanja vya Chongoleani, Mkoani Tanga tayari kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa  mradi mkubwa wa usafirishaji wa Mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda mpaka katika bandari ya Tanga.Rais Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Uganda, Yoweri  Kaguta Museveni  wakifurahi jambo na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan wakiwa katika viwanja vya Chongoleani, Mkoani Tanga tayari kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa  mradi mkubwa wa usafirishaji wa Mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda mpaka katika bandari ya Tanga.
==>Tazama hapo chini 

Loading...

No comments: