Azam FC yachomoza na ushindi mwembamba mbele ya Mtibwa Sugar - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, April 29, 2018

Azam FC yachomoza na ushindi mwembamba mbele ya Mtibwa Sugar
Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC  imefanikiwa kuchomoza na ushindi mwembamba wa bao 1 – 0 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara.
Azam FC imefanikiwa kupata bao lake la mapema kupitia kwa mchezaji wake, Shaban Idd dakika ya 38 akipokea pasi safi kutoka kwa Ramadhan Singano na hivyo kuwafanya matajiri hao wa Jiji la Dar es Salaam kuzidi kujiimarisha nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi.
Loading...

No comments: