Idris Sultan apata deal ya kushiriki kwenye tamthilia ya Marekani (Video) - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, April 2, 2018

Idris Sultan apata deal ya kushiriki kwenye tamthilia ya Marekani (Video)


Mchekeshaji Idris Sultan amepata deal ya kushiriki katika tamthilia kubwa tatu nchini Marekani na Afrika Kusini. Hayo ameyasema muigizaji huyo jana akiwa katika tuzo za SZIFF zilizofanyika Jumapili hii Mlimani City jijini Dar es salaam.
VIDEO kwa hisani ya BONGO5.COM
Loading...

No comments: