Serengeti Boys watinga fainali ya CECAFA kibabe


Vijana wa Serengeti Boys imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya CECAFA chini ya umri wa miaka 17 inayoendelea huko nchini Burundi.
Serengeti Boys wamefanikiwa kutinga kwenye hatua hiyo baada ya kuifunga Kenya kwa mabao 2-1 kwenye mchezo huo ambao umechezwa kwenye uwanja wa Muyinga.
Mabao ya Serengeti yamefungwa na Jafar Juma (21) na Kelvin Paul (62).

Post a Comment

0 Comments