Tigo yaendelea kumwaga zawadi ya simu janja aina ya TECNO R6 kwa wateja wake - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, April 27, 2018

Tigo yaendelea kumwaga zawadi ya simu janja aina ya TECNO R6 kwa wateja wake

Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu janja aina ya TECNO R6 kwa Diana Kilonzo mkaazi wa Mabibo jijini Dar es Salaam  katika hafla ya kukabidhi simu kwa washindi wa wiki hii katika promosheni inayoendelea ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus. Tigo imetoa jumla ya simu 812 kwa washindi kutoka sehemu mbali mbalfoni za nchi waliotumia namba *147*00# kununua bando za intaneti kutoka Tigo, huku kukiwa na simu 268 ambazo bado zinashindaniwa. Kulia ni Mtaalam wa Usambaji Bidhaa wa Tigo, Baraka Hamza.


Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu janja aina ya TECNO R6 kwa Honoli Gasper (kati) mkaazi wa Rombo katika hafla ya kukabidhi simu kwa washindi wa wiki hii katika promosheni inayoendelea ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus. Tigo imetoa jumla ya simu 812 kwa washindi kutoka sehemu mbali mbali za nchi waliotumia namba *147*00# kununua bando za intaneti kutoka Tigo, huku kukiwa na simu 268 ambazo bado zinashindaniwa. Kulia ni Mtaalam wa Usambaji Bidhaa wa Tigo, Baraka Hamza.


 Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu janja aina ya TECNO R6 kwa Hassan Khamis (kati) mkaazi wa Chamanzi  jijini Dar es Salaam  katika hafla ya kukabidhi simu kwa washindi wa wiki hii katika promosheni inayoendelea ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus. Tigo imetoa jumla ya simu 812 kwa washindi kutoka sehemu mbali mbali za nchi waliotumia namba *147*00# kununua bando za intaneti kutoka Tigo, huku kukiwa na simu 268 ambazo bado zinashindaniwa. Kulia ni Mtaalam wa Usambaji Bidhaa wa Tigo, Baraka Hamza.


 Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu janja aina ya TECNO R6 kwa Misha Mhando(kati) mkaazi wa Kimara jijini Dar es Salaam  katika hafla ya kukabidhi simu kwa washindi wa wiki hii katika promosheni inayoendelea ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus. Tigo imetoa jumla ya simu 812 kwa washindi kutoka sehemu mbali mbali za nchi waliotumia namba *147*00# kununua bando za intaneti kutoka Tigo, huku kukiwa na simu 268 ambazo bado zinashindaniwa. Kulia ni Mtaalam wa Usambaji Bidhaa wa Tigo, Baraka Hamza.

Loading...

No comments: