Ufanunuzi Kwa Watoa Huduma Za Maudhui Kwa Njia Ya Mtandao - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, April 27, 2018

Ufanunuzi Kwa Watoa Huduma Za Maudhui Kwa Njia Ya Mtandao


Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kukiri mwitikio mzuri wa wamiliki wa Blogu, Majukwaa mtandaoni (online forums), Radio na Televisheni za mtandaoni wanaoendelea kujitokeza katika zoezi la usajili tokea tulipotoa tangazo tarehe 21 Aprili, 2018.
Aidha, TCRA inapenda kutoa ufafanuzi juu ya maswali mbali mbali ambayo yamekuwa yakiulizwa kama ifuatavyo:-
Loading...

No comments: