Waziri Mwakyembe Afanya Uteuzi Huu - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, April 13, 2018

Waziri Mwakyembe Afanya Uteuzi Huu

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amemteua Mhandisi Dkt. Richard Joseph kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya chuo cha michezo Malya.

Uteuzi huo umetekelezwa kwa mujibu wa sheria ya Na. 9 ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ya mwaka 1997 ikisomwa na mwongozo wa uteuzi wa bodi ya uongozi wa vyuo vya elimu ya juu.

Loading...

No comments: