Diamond apewa ndinga mpya ya kifahari (Video) - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, May 27, 2018

Diamond apewa ndinga mpya ya kifahari (Video)

Diamond Platnumz amekabidhiwa ndinga mpya ya kifahari na uongezi wake wa WCB.
Muimbaji huyo mapema leo alipost video fupi akionyesha gari hiyo ya kisasa aina ya Toyota Land Cruiser.
“Management yangu imenipatia Toy hii ndogo kwa ajili ya mikutano yangu ya kampuni,” alindika Diamond kupitia Instagram.


Katika hatua nyingine rais huyo wa WCB amedai baada ya kukabidhiwa ndinga hiyo ameambiwa kuanzia leo ni marufuku kuendesha gari.
“Na wameniambia niache kuendesha gari kuaniza leo. Yoo Best !!!


🔥

,” aliongeza Diamond katika ujumbe huo.
CHANZO; BONGO5.COM
Loading...

No comments: