Guardiola ampa mkono wa kwaheri, Yaya Toure - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, May 5, 2018

Guardiola ampa mkono wa kwaheri, Yaya Toure

Meneja wa Manchester City amesema kuwa kiungo wa timu hiyo, Yaya Toure anatarajia kuondoka mwishoni mwa msimu huu.

Toure mwenye umri wa mika 34, ataachana na mabingwa hao wa ligi kuu nchini Uingereza mara baada ya mchezo wa timu yake dhidi ya Brighton siku ya Jumatano.
on Wednesday, said manager Pep Guardiola.
Kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast, Toure amejiunga na City akitokea klabu ya Barcelona ya nchini Hispania mwaka 2010 kwa paunni milioni 24 na kuingia mkata mpya wa mwaka mmoja Juni 2017.
Yaya amekuja hapa wakati wa mwanzo wa safari ya timu hii. Mahala ambapo leo hii tumefika nikotokana na Jitihada zake kamwe hatuwezi kusahau mchango wake na meneja, Roberto Mancini.
Mchezo wetu dhidi ya Brighton utakuwa wa mwisho kwake na kutumia nafasi hiyo kuwaaga mashabiki tutahitaji kushinda hii mechi siyo kwaajili ya timu bali hata kwaajili yake.
Toure amecheza jumla ya michezo 229 ya ligi kuu nchini Uingereza ndani ya misimu yake nane aliyotumikia Etihad. Ameshinda jumla ya mataji matatu ya ligi ya Uingereza mawili na FA Cup.
Loading...

No comments: