Harusi ya MwanaMfalme Prince Harry Yagharimu 102.6 bilioni za Tanzania - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, May 21, 2018

Harusi ya MwanaMfalme Prince Harry Yagharimu 102.6 bilioni za Tanzania
HARUSI YA MWANAMFALME : Prince Harry na Meghan Markle tayari ni Mume na Mke. #RoyalWedding18

Hili ni tukio kubwa katika historia ya Uingereza: kwani runinga, redio pamoja na vyombo vyote vya habari duniani vimetupia Jicho lake hapa.

Kwa mujibu wa mtandao maarufu unaoangazia gharama za Masuala ya ndoa na Sherehe mbali mbali, #BrideBook umeripoti kuwa, bajeti ya harusi hiyo ni kiasi cha dola za Kimarekani, Milioni 45, ambazo ni zaidi ya sh.102.6 bilioni za Tanzania. Hiyo itatumika kwenye ishu za Ulinzi, vyakula, Usafiri, Mapambo na vinywaji mbali mbali.

Loading...

No comments: