Hii ndio bei ya jezi ya Nigeria watakayoitumia Kombe la Dunia 2018 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, May 20, 2018

Hii ndio bei ya jezi ya Nigeria watakayoitumia Kombe la Dunia 2018


Ni siku 27 zimesalia michuano ya Kombe la Dunia kwa mwaka 2018 ianze, huku bara la Afrika likipata nafasi ya kuwakilishwa na mataifa matano ambayo niNigeriaSenegalMisri, Morocco na Tunisia katika fainali hizo zitakazofanyika nchini Urusi.
Kuelekea fainali hizo good news mbalimbali zimeanza kutangazwa na kuna baadhi ya taarifa pia zimewashangaza mashabiki wa soka kutokana na kuna baadhi ya mastaa wa soka ambao tulitegemea kuwaona lakini makocha wa timu zao za taifa wamewaona hawana mchango safari hii.
Ukiachana na hayo ni kuwa jezi ya timu ya taifa ya Nigeria Super Eagles ambayo imetengezwa na kampuni ya Nike imeanza kununuliwa kwa kasi, Nike tayari wamepokea oda milioni 3 ya kutengenzeza jezi hizo na inakadiriwa hadi Kombe la dunia limalizike watakuwa wametengeneza jumla ya jezi milioni 582 za Nigeria, jezi moja ya Nigeria inauzwa Naira 30,342 ambazo ni zaidi ya Tsh 190000.CHANZO; MILLARD AYO.COM
Loading...

No comments: