KISA NA MKASA;Haiwezekani Nataka Kupima DNA Nimestuka!! Wanangu Hawajafanana na Mimi - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, May 25, 2018

KISA NA MKASA;Haiwezekani Nataka Kupima DNA Nimestuka!! Wanangu Hawajafanana na Mimi


Mwenzenu jamani nahisi nmechakachuliwa,nina mke wangu tumezaa watoto wawili mmoja yuko na miaka mitano na wa pili miwili,kati yetu mimi na mke wangu nahisi kuna kitu kinaendelea na nimefanya uchunguzi wa kina na kuishia kwa majibu ambayo hayaniingii aklini na pili vilevile hawa watoto wanafanana exactly na watu ninao wahisi

Nkijaribu kurudisha hisia nyuma naona matukio yanafanana na mke wangu pia alikuwa amejipatia ujauzito kwenye mazingira ya kutatanisha,Huyu wa kwanza anafanana sana na boyfriend wake wa zamani ambaye mimi namjua!kipindi yuko mjamzito nilishawahi kumfuma na meseji kibao za mahapa na njemba hilo!

Huyu wa pili anafanana sana na Babu mmoja hapa mtaani kwetu anashona viatu
Huyu mara nyingi nmeshawahi kumkuta home anajisingizie kuja kuchukua viatu,mbaya zaidi hata huyu mtoto huyu mwwanamke anajitahidi sana kumjengea mazoea nae
Sasa naombeni ushauri jamani mm nifanye nini?

Loading...

No comments: