MC Pilipili Acha Kulilia Mwanamke, Unatuaibisha Wagogo wa Dodoma_MAONI MTANDAONI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, May 21, 2018

MC Pilipili Acha Kulilia Mwanamke, Unatuaibisha Wagogo wa Dodoma_MAONI MTANDAONI


Toka unyang'anywe mke na Mwinjaku imekuwa vilio visuvyokuwa na kikomo huko insta, wewe ni mwanaume usililie mwanamke hizo zama zimeshapitwa na wakati hapo unatuabisha tu sisi Wanaume wa shoka kutoka Dodoma

Ikumbukwe kuwa Mc Pili Pili alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mrembo huyo Nicole na baada waliachana kisha binti huyo alipata bahati ya kupata mtoto ambae inasemekana ni wa kigogo mmoja Serikalini....

Bado hajajulikana hasa kama hiyo ndoa ya Nicole na Mwinjaku ni ya kweli au wanacheza Movie maaana Mastaa wa Bongo kwa Kiki Hawajambo.. 
Loading...

No comments: