N’Golo Kante atwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka (+Picha) - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, May 12, 2018

N’Golo Kante atwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka (+Picha)


Kiungo wa timu ya taifa ya Ufaransa, N’Golo Kante ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka ndani ya klabu yake ya Chelsea.
Wakati winga wa klabu hiyo, Willian akifanikiwa kushinda tuzo mbili ambazo ni mchezaji bora chaguo la wachezaji na bao bora la msimu ambalo amefunga dhidi ya Brighton Jan 18.
Willian akiwa na tuzo yake ya goli la msimu
Kwenye tukio hilo lililofanyika siku ya Alhamisi limeishuhudia klabu hiyo yenye maskani yake Magharibi mwa jiji la London likisherehekea pamoja wachezaji na viongozi.
Eden Hazard (kushoto) na Cesar Azpilicueta (kulia)

Loading...

No comments: