Rais Magufuli akutana na Dkt. Shein Ikulu (+video) - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, May 27, 2018

Rais Magufuli akutana na Dkt. Shein Ikulu (+video)

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amekutana na Makamu Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es salaam.
Loading...

No comments: