Taswira;Wanafunzi kidato cha sita wa Kibiti Boys wajiandaa vizuri kuanza mitihani yao ya kitaifa - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, May 7, 2018

Taswira;Wanafunzi kidato cha sita wa Kibiti Boys wajiandaa vizuri kuanza mitihani yao ya kitaifa

Mkuu wa shule ya Kibiti Boys Mwl Dismas Njawa akiongea na wanafunzi wa kidato cha sita wanaotegemea kuanza mitihani yao ya taifa kuanzia leo .Shule ya kibiti Boys ina takribani ya wanafunzi wapatao 851 wanaotegema kuanza mitihani yao leo wakiwa wanasoma masomo ya biashara ,sayansi na sanaa.

 Wanafunzi wa kidato cha sita wa Kibiti Boys  wanaotegemea kuanza mitihani yao ya taifa kuanzia leo  wakisikiliza nasaha za mkuu wa shule Mwl.Dimas Njawa kabla ya kuingia katika vyumba vya mtihani .Shule ya kibiti Boys ina takribani ya wanafunzi wapatao 851 wanaotegema kuanza mitihani yao leo wakiwa wanasoma masomo ya biashara ,sayansi na sanaa. Wanafunzi wa kidato cha sita wa Kibiti Boys  wanaotegemea kuanza mitihani yao ya taifa kuanzia leo  wakisikiliza nasaha za mkuu wa shule Mwl.Dimas Njawa kabla ya kuingia katika vyumba vya mtihani .Shule ya kibiti Boys ina takribani ya wanafunzi wapatao 851 wanaotegema kuanza mitihani yao leo wakiwa wanasoma masomo ya biashara ,sayansi na sanaa.

 Wanafunzi wa kidato cha sita wa Kibiti Boys  wanaotegemea kuanza mitihani yao ya taifa kuanzia leo  wakisikiliza nasaha za mkuu wa shule Mwl.Dimas Njawa kabla ya kuingia katika vyumba vya mtihani .Shule ya kibiti Boys ina takribani ya wanafunzi wapatao 851 wanaotegema kuanza mitihani yao leo wakiwa wanasoma masomo ya biashara ,sayansi na sanaa.


Loading...

No comments: