Mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea Bungeni mjini Dodoma, likiwa limeongozwa na Mwenyekiti wa Bunge,Azzan Mussa Zungu. Tazama picha za Wabunge mbalimbali wakiwa katika kipindi cha maswali na majibu.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.Dkt.Ashatu Kijaji akijibu hoja mbalimbali za Wabunge wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma

Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe.Dkt.Mary Mwanjelwa akijibu hoja mbalimbali za Wabunge wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma

Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvivu, Mhe.Abdallah Ulega akijibu maswali mbalimbali ya Wabunge wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Azzan Mussa Zungu akiongoza kikao cha ishirini na mbili cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma

Mbunge wa Namtumbo, Mhe.Mhandisi Edwin Ngonyani akiuliza swali wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma
No comments:
Post a Comment