Vodacom Tanzania Plc yaandaa chakula cha usiku kwa Wafanyakazi wake ikiwa ni maandalizi ya kusherehekea miaka 10 ya M-Pesa - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, May 26, 2018

Vodacom Tanzania Plc yaandaa chakula cha usiku kwa Wafanyakazi wake ikiwa ni maandalizi ya kusherehekea miaka 10 ya M-Pesa

 Mkurugenzi wa Kitengo cha M-Pesa, Ashutosh Tiwary akiitambulisha timu ya M-Pesa

  Mkuu wa Kitengo cha M-Commerce Candice Rato akitoa mada wakati wa hafla hiyo

Wafanyakazi wa Kampuni ya Vodacom wakisikiliza kwa makini

Wafanyakazi wa Kampuni ya Vodacom wakisikiliza kwa makini

 Wakati wa ufunguzi wa nembo hiyo

 Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc wakijipatia maakuli wakati wa hafla hiyo

Burudani kutoka kwa wanasarakasi ikiendelea


Loading...

No comments: