WANACHUO WAPEWA MBINU ZA KUPATA FURSA ZA AJIRA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, May 20, 2018

WANACHUO WAPEWA MBINU ZA KUPATA FURSA ZA AJIRA

Wanafunzi wa elimu ya juu wametakiwa kutumia fursa mbalimbali zinazowazunguka kwenye jamii kuweza kujikwamua badala ya kusubiri kumaliza elimu na kuhangaika kutafuta ajira mitaani
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa kampuni ya Koncept, Krantz Mwantepele wakati wa semina ya kujitambua kwa wanafunzi wa Chuo cha Mtakatifu Agustino (Saut) Jijini Mwanza
Loading...

No comments: