WAZIRI LUKUVI, MWENYEKITI WA KAMATI NAPE, WAMWAGA SIFA UTENDAJI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, May 19, 2018

WAZIRI LUKUVI, MWENYEKITI WA KAMATI NAPE, WAMWAGA SIFA UTENDAJI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC)


Picha za matukio yaliyojiri wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii, ilipofanya ziara na kupata maendeleo ya ujenzi wa miradi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) leo. Katika ziara hiyo, Waziri Lukuvi amesifia kasi ya utendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa huku Mwenyekiti wa Kamati wa Ardhi, Maliasili na Utalii, Nape Moses Nnauye akisema Shirika hilo ni mfano wa kuigwa kwa utendaji wenye viwango ikilinganishwa na mashirika mengi nchini.
Loading...

No comments: