BAKWATA YATOA TAMKO KUHUSIANA NA UJENZI WA CHUO KIKUU - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, June 2, 2018

BAKWATA YATOA TAMKO KUHUSIANA NA UJENZI WA CHUO KIKUU


Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA limesema ujenzi wa Chuo kikuu utakaofanywa na nchi ya Saudi Arabia utakuwa chini ya Baraza hilo na si taasisi yoyote  nyingine.

Akifafanua kuhusiana na mgongano unaojitokeza juu ya umiliki wa chuo kikkuu hicho kinachotarajiwa kujengwa na Serikali ya Saudi Arabia Msemaji wa BAKWATA Sheikh Khamis Said Mataka amesema chuo hicho kitakuwa chini ya baraza hilo.

Aidha Bakwata wawamezungumzia pia suala la sikukuu ya Eid El Fitri, ambapo kwa mujibu wa Sheikh Mataka swala hiyo itaswaliwa Jijini Dar es salaam.

Na Amos C Nyanduku
Loading...

No comments: