BREAKING: Baba Mzazi wa Michael Jackson Afariki Dunia - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, June 27, 2018

BREAKING: Baba Mzazi wa Michael Jackson Afariki Dunia
Baba Mzazi wa marehemu na nguli wa muziki miondoko ya Pop  Michael Jackson, JoeJackson Ambaye alikuwa anapambana na ugonjwa wa Saratani isiyotibika Amefariki Dunia.

Joe Jackson ambaye aliwahi kulisimamia kundi la The Jackson 5, Alikuwa Hospitalini Kwenye hatua yake ya mwisho ya kupambana na maradhi hayo na alikuwa amezungukwa na mkewe, Katherine Jackson pamoja na ndugu wengine wa karibu.

Taarifa zinasema kuwa, Joe alikuwa akipambana na maradhi hayo kwa muda mrefu na aliambiwa kuwa ugonjwa huo hautibiki

Loading...

No comments: