BUNGE LAWALILIA MARIA NA CONSOLATHA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, June 4, 2018

BUNGE LAWALILIA MARIA NA CONSOLATHA

Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Bunge limepokea kwa masikitiko makubwa vifo vya pacha Maria na Consolata vilivyotokea siku ya Jumamosi katika hospitali ya mkoa wa Iringa.
Akitoa salamu hizo za rambirambi leo bungeni Mjini Dodoma, Spika Ndugai amemwomba Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako kufikisha salamu za chombo hicho kwa ndugu, jamaa na marafiki wa Marehemu ao.
Na Amos C Nyanduku
Loading...

No comments: