DAVIDO KALA SHAVU JUKWAA MOJA NA JAY Z - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, June 5, 2018

DAVIDO KALA SHAVU JUKWAA MOJA NA JAY Z


Mwanamuziki nyota kutokea nchini Nigeria David Adeleko maarufu kama ‘Davido’ amekula shavu kupand jukwaa moja na nguli wa Hip Hop kutokea Marekni Jay Z.

Msanii huyu atatumbuiza katika tamasha liitwalo ‘MADE IN AMERICA 2018’ na ataungana na nyota wengine kutoka nchini humo kama Nicki Minaj, Fat Joe, Meek Mill na wengine kibao.

Davido atakuwa ni msanii pekee kutoka barani Afrika katika tamasha hilo, lililopangwa kufanyika katika Mji wa Philadephia kwenye ukumbi wa Benjamin Franklin Parkway.
Loading...

No comments: