JPM Azindua Mkakati wa Kukuza Kilimo Awamu ya Pili - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, June 4, 2018

JPM Azindua Mkakati wa Kukuza Kilimo Awamu ya Pili


RAIS Dkt. John Pombe Magufuli anazindua Program ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo Awamu ya Pili (ASDP II) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Jumatatu (Juni 04, 2018). Programu hii ni ya miaka mitano na itagharimu Shilingi Trilioni 13.8.

Mpango huu ni kwa ajili ya kukuza sekta ya kilimo, ufugaji na uvuvi, kuifanya sekta hii iwe ya kibiashara na kuongeza tija katika sekta ya uchumi na viwanda. Shughuli hiyo inafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.


Loading...

No comments: