KAMPENI YA FURAHA YANGU YA KUHAMASISHA UPIMAJI WA VVU YAENDELEA MJINI DODOMA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, June 21, 2018

KAMPENI YA FURAHA YANGU YA KUHAMASISHA UPIMAJI WA VVU YAENDELEA MJINI DODOMA

Mhamasishaji wa Afya kutoka shirika la FHI 360, Happiness Swai akimhamasisha mmoja wa wakaazi wa eneo la Chamgombe jijini Dodoma ambaye ni mhudumu wa duka la dawa kujitokeza katika zoezi la kitaifa la upimaji na tiba wa VVU linaloratajiwa kuzinduliwa rasmi na Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa tarehe 19 mwezi huu katika uwanja wa Jamhuri jijini humo.

Wahamasishaji wa Afya kutoka shirika la FHI 360 wakiwa katika harakati za kuwahamasisha wakaazi wa eneo la Changombe jijini Dodoma kujitokeza kwa wingi katika zoezi la kitaifa la upimaji wa VVU na kuanza kutumia dawa mapema ambalo linatarajiwa kuzinduliwa rasmi na Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa tarehe 19 mwezi huu katika uwanja wa Jamhuri jijini humo.

Mhamasishaji wa Afya kutoka shirika la FHI 360, Getruda Francis  akimhamasisha mmoja wa maderava wa bodaboda na mkaazi wa jijini Dodoma, eneo la Mipango kujitokeza katika zoezi la kitaifa la upimaji na tiba  wa VVU linaloratajiwa kuzinduliwa rasmi na Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa tarehe 19 mwezi huu katika uwanja wa Jamhuri jijini humo.

Mhamasishaji wa Afya kutoka shirika la FHI 360, Getruda Francis akimhamasisha mmoja wa wakaazi wa Area A, jijini Dodoma ambaye ni mama wa nyumbani, kujitokeza katika zoezi la kitaifa la upimaji na tiba wa VVU linaloratajiwa kuzinduliwa rasmi na Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa tarehe 19 mwezi huu katika uwanja wa Jamhuri jijini humo.

Loading...

No comments: