KUBENEA AMBANA WAZIRI KABUDI KUHUSIANA NA FEDHA ZA MAKINIKIA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, June 1, 2018

KUBENEA AMBANA WAZIRI KABUDI KUHUSIANA NA FEDHA ZA MAKINIKIA


Mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea amemtaka Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi kulieleza Bunge majadiliano baina ya Serikali na Kampuni ya Madini ya Acacia kuhusu makinikia yamefikia wapi.

Akichangia hotuba ya Bajeti ya wizara ya Madini Bungeni mjini Dodoma, Kubenea amemtaka Waziri Kabudi kutoa taarifa kuhusiana na Dola Bilioni 190 ambazo ni zaidi ya Sh 424 trilioni zinazopaswa kulipwa na Acacia zitapatikanani lini.

Kubenea amesema fedha hizo Sh424 trilioni zinapaswa kila Mtanzania apate matibabu, kuishi maisha mazuri kwa fedha hizo zinapatijkana lini?

Na Amos C Nyanduku
Loading...

No comments: